Nabure Company Limited Приложения

Peruzi 1.1
Nabure Company Limited
Peruzi ni application yenye mlengo wa kusaidiajamii ya kitanzania kuweza kupata habari kutoka kwenye blogs nawebsite maarufu za apa nchini. Mtumiaji wa hii application atawezakusoma vichwa vya habari akiwa offline, pia ataweza kusomamuhtasari wa hizo habari.Version 1.1 imesikiliza maoni ya watumiaji wetu,imewezesha mtukusoma muhtasari wa habari akiwa ndani ya application na offline,pia imewezesha urahisi katika kutumia.Asante nyingi kwa wote ambao wametuma maoni yao kwenye reviewsna emails, tunashukuru sana. Asante pia kwa wale wote waliodownloadapplication yetu na kuifanya kuwa moja kati ya applicationinayotumika sana kwa muda mfupi apa nchini.
Peruzi Kenya 1.0
Nabure Company Limited
Peruzi Kenya is a rss reader applicationdeveloped to serve the mostly the kenyans and others who areinterested with news from Kenya. By using this application user canhave easy access of news from famous blogs, websites and newspapersfrom Kenya. User will be able to browse through all headlines andalso he/she can go direct to the link of that headline.How to use?1.Swipe to the row of your choice to see the next headline2.Click to the row of your choice to go direct to the link of thatheadline3.Press menu button to see refresh option which when clicked willfetch the new feeds